#SipendiUjinga: Kenyans' hilarious posts on viral Twitter hashtag





No one likes putting up with nonsense. This was clearly evident on twitter when the hashtag #sipendiujinga went viral, especially after singer Chris Brown broke one of the fan’s phone. Here are a few of the hilarious tweets of the nonsense Kenyans cannot stand that we compiled for your amusement.

Moses wa Bible alivunja tablets mbili na hakuna mtu Alikua deported.... Sasa infix imevunjika tunasumbuliwa akili... #sipendiujinga


Nimepata my son amechora ukuta na crayons, nimebuy mkebe nzima ya Sandolin a paint hao yote #sipendiujinga

Nilioga na Dettol 24hrs protection alafu nikajipaka Nivea 48hrs protection.. Nmekaa siku tatu cjaoga zinaisha kesho. Nachora nioge na Ariel mwosho moja tu na sitaoga tena. #sipendiUjinga ya kuoga mimi

Ushawai katia dem hadi anakusho uende kwao ati hakuna mtu, ukifika kwao unapata pia yeye hayuko. KumbeHapendiUjinga #SipendiUjinga

I will create a group and add all my Exs ....halafu nileft. Mimi #sipendiujinga

Nimeambiwa nionje kama uji ikona skari ya kutosha nikamaliza jug yote. Mimi kama mluhya #SipendiUjinga
Siku hizi naanza kusoma post kutoka nyuma nikiona haimalizii na sipendi ujinga ata sisomi juu #sipendiujinga pia!!

Konda aliniitisha fair nikampea thao. Akaniuliza kwani sina pesa ingine, nilimtolea thao kumi.
#Sipendiujinga mwisho wa mwezi

Nime peleka maji kwa bafu ndio minyoo idhani naenda kuoga...alafu nikaenda pole pole kwa hoteli nika kula kama hazijui....... Nimeita wasee bash nkabuy nyama ya 50 nkachanganya na sossi mafala wamemanga wakithani nmebuy kilo ya nyama juu ilikua mob #Sipendiujinga mimi

Comments

Popular Posts